Home HABARI MPYA Mwezi ujao wanyama wa aina ya “Kifaru” watawasili Rwanda
HABARI MPYA - April 20, 2017

Mwezi ujao wanyama wa aina ya “Kifaru” watawasili Rwanda

Mwaka wa 2015, mwezi Juni katika ardhi ya Akagera national parc ya Rwanda kuliongezeka wanyama wa aina ya simba pakiwemo tano za aina ya kike  kutoka Kwazulu Natal huko Afriaka ya Kusini katika lengo la kurejesha wanyama hao ambao walikuwa wamekwisha baada ya miaka 15.

Hivi katika ardhi hio inatarajiwa kuleta wanyama wengine wajulikanao kwa jina laKifaru (rhinoceros) kama vile husemwa na Joseph Karama anayehusina na tendo la kupatanisha mambo ya ardhi ya Akagera na raia, eti “tunatarajia “vifaru” 19 ambazo tutatosha Kenya pamoja na Afrika ya Kusini, vitafikishwa Rwanda mwanzo wa mwezi ujao wa Mei”.

Munyama huu hufananishwa na kipoko, ila tofauti ni kwamba kifaru hua na pembe pembeni ya pua na ndio sababu wamoja wanasema ni munyama wa pembe moja.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa kawaida kifaru yenye maisha mema hupima uzito wa kilo 900 au toni moja, ingine jambo na kwamba mimba yake huchukua miezi 15.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.