kwamamaza 7

Mwenyemali Aga Khan ataka kujenga hospitali kubwa nchini Rwanda

0

Kwa niaba ya kupanua vitendo vyake katika Afrika ya Mashariki, mwenyemali Aga Khan anakusudia kujenga hospitali kubwa nchini Rwanda itakayostahili milioni nyingi za dola ya Marekani.

Siku ya ijuma tarehe 11 Novemba Aga Khan akiwa na maongezini katibu mkuu wa jumuia ya Afrika ya Mashariki alisema kwamba ataongeza uwezo kwa hospitali Dar es Salaam na kujenga shule za vituo vikuu hata hospitali nyingi kwa kampuni ya jina lake Aga Khan Development Networks (AKDN).

[ad id=”72″]

Aga Khan atajenga pia vituo vikuu katika nchi zote ambazo huunda Afrika ya Mashariki kama Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi na Sudani ya kusini.

Aga Khan ana vitendo tofauti hapa Rwanda pakiwemo hoteli ziitwazo Serena ya Kigali na Rubavu na vitendo vyake vingine vipo katika nchi zaidi ya 30.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.