Swahili
Home » Mwelekezo 2050, itarudiliwa katika mustaafu wa 14
HABARI MPYA

Mwelekezo 2050, itarudiliwa katika mustaafu wa 14

Mustaafu wa viongozi wakuu wa nchi unatarajiwa kuanza tarehe 24 Februari hadi 2 Machi 2017, itazungumzia mpango wa serikali wa miaka 7, kutia katika matendo mwelekezo wa 2020 kwani unafikia mwisho hata na kuzungumzia mwelekezo wa 2050.

Hayo yalitangazwa tarehe 6 Februari na waziri anayehusika na huduma ya mkutano wa mawaziri Stella Ford Mugabo kwenye maongezi na wanahabari na alifasiria maamzi yaliyotoka katika mkutano wa mawaziri ulio fanywa tarehe 3 Februari 2017.

Waziri Stella amesema mustaafu wa mwaka huu utadumu wiki pahali ya siku 3 kama jinsi ilikuwa mbele kwa kuwa kuna mpango mengi watazungumzia.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Bi Stella Ford eti:“mustaafu wa mwaka huu utadumu wiki kwani tutazungumza mambo tofauti pakiwemo maisha mazuri na uchumi, mwelekezo 2020, mpango wa serikali wa miaka 7 utakayo anza mwezi Julai na mwelekezo mpya wa 2050”.

Watazungumza pia waliyo yafikia katika mipango tofauti ili kuzingatiwa, na yale bado wajue ni nini ilisukuma isiwezekane na kuchukua hatua nyingine.

Katika mustaafu huu watachunguza sana hatua za mwelekezo 2020, jinsi raia walihudumiwa, ujenzi, uchumi na viwanda hata teknolojia.

Kama kawaida mustaafu wa 14 utafanyika kwenye kambi la jeshi la Gabiro, kutakuwepo viongozi tofauti wapatao 250 na wengine watakao alikwa kwa ajili ya maongezi.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com