kwamamaza 7

Mwandishi asili ya  Ubelgiji awalinganisha na ibilisi Diane Rwigara na Victoire Ingabire

0

Mwandishi asili ya Ubelgiji,Allain Billen,64,  akiwa mazungumzo na RTBF(Radio Television Belge de la Communaute Francaise) ametangaza kuwa  Diane Rwigara na Victoire wana picha ya wamalaika ila wanaficha picha ya ibilisi.

Mwandishi huyu ameleza hili kwa kutumia alichokiita propaganda za ulaya kwa kusema kuwa Ulaya huchanganya mambo ya ugaidi na yale ya siasa na kuongeza kuwa shilika la kutetea haki za binadamu linaegamia upande wa nchi fulani na kuudhi nyingine.

Wanaowaonea huruma Diane na Victoire huruma,nafikiri kuwa ni wale ambao hawaoni yaliyo vichwani mwao,Diane yaweza akawa mbaya hata kama ni muathiriwa wa mauaji ya kimbali”amesema Billen.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mwandishi Billen ameongeza kuwa anashangazwa na namna ambavyo shilika la HRW linajisahaurisha uhalifu ambao hawa wanawake wanashtakiwa na kupenedekeza kuwa kunahitajika fikra zisichanganywa na hisia na kufuatilia ukweli.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Diane Rwigara anashtakiwa kutumia hati bandia,uchochezi na kuzusha ghasia nchini wakati ambapo Victoire Ingabire Umuhoza alihukumiwa  kufungwa miaka 15 juu ya uhalifu wa kuwaunga mkono wanamgambo,itikadi ya mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka 1994 uchochezi.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.