Swahili
Home » Mwanamke wa AY siyo Mnyarwanda ni Mtanzania,Mange Kimambi afunguka
BURURUDANI

Mwanamke wa AY siyo Mnyarwanda ni Mtanzania,Mange Kimambi afunguka

Watu wengi wamepiga mashangao kutokana na  mawazo yake mwanaharakati maarufu Mtanazania, Mange  Kimambi kwenye mtandao wa kijamii.

Kupitia ukuta wake wa Instagram, Mange Kimambi amesema kuwa anasikitika anaposikia Watanzania wanaokaa na kumsifia mke wa msaani wa AY,Remmy Umunyana maarufu kama Remmy Rwanda ni Mnyarwanda.

Mange Kimambi amefichua kuwa huyu binti ana asili ya Kitanzania kwa sababu babu ya baba yake ni Watanzania bali mama yake ndio Mnyarwanda.

Kimambi ametangaza kuwa majina ya ukweli ya Remmy ni Rehema Sudi Suleimani na kuwa baba yake ni mkazi wa Mwanza,asili ya Omani.

Pia amefafanua kizazazi cha binti huyu kupitia ujumbe  huu

Ujumbe wake Mambe Kimambi kwenye Instagram

Kwa kusisitiza hili Mambe Kimambi ametoa mfano wa kisa cha Diamond Platinumz kwa kusema kama mwanadada huyo ni Mnyarwanda kama wengi wanavyodai hata watoto wa Diamond ni Waganda kwani wanalelewa na mama asili nchini Uganda.

Kimambi ameeleza kwamba hili ni kupiga marufuku madai ya kuponda wasichana wa kitanzania kuwa wanawake wa kitanzania hawataolewa bali watu maarufu kama AY wanakimbilia nchi za jirani.

Ay alifunga ndoa na huyu mwanadada hivi juzi nchini Rwanda mjini Nyamata,mashariki mjini Kigali.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com