Home BURURUDANI Mwanamke mrembo duniani wa mwaka
BURURUDANI - April 20, 2017

Mwanamke mrembo duniani wa mwaka

Huenda asijihisi kuwa mrembo, lakini Sandra Bullock ndiye mwanamke mrembo duniani.

Iwapo anaamini hilo au la ,nyota huyo wa filamu mwenye umri wa miaka 50 ametangazwa na gazeti la People magazine kama chaguo lake la kila mwaka la mwanamke mrembo duniani mwaka 2015, hasa maoni yako ni aje kuhusu mwanamke mrembo wa mwaka 2016 pamoja na 2017 kama vile husema gazeti la Uwingereza.

mrembo

Msanii huyo alidokezewa kuhusu habari hiyo kabla ya tangazo hilo kutolewa na jarida hilo.

Je tunakuuliza unakubaliana na uamuzi wa gazeti hilo kwamba Sandra Bullock ndiye mwanamke mrembo duniani?

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki

1 Comment

  1. ndo mimi sikukusadiki kbs yaani gazeti lile ,inawezekana halikufanya uchaguzi kamili ! kwa upande wengine sikuwalaumu kumchagua kama kidosho yaani mrembo kwao kulingana na nmana wamonavyo na masharti wafuatayo kama gazeti kwa kuchagua mrembo ! ahsante

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.