Mwanamke kutoka Marekani, mfanyabiashara Sonia Zuniga ameonesha haja yake kumkuta Rais Paul Kagame wa Rwanda ili kuzungumza biashara na kumshukuru.

Sonia amelezea Bwiza TV kuwa anataka kukutana na Rais Kagame kwa kumshukuru alivyoisaidia nchi yake kupiga hatua ya maendeleo.

Sonia ambaye ni mkazi eneo la Delrion Texas karibu na mpaka wa Mexico amesema alishangazwa na maendeleo, usafi na usalama vilivyo  nchini.

“ Kama nilivyozoea nchi, miaka 25 iliyopita ni michache. Maendeleo yanavutia. Nataka kukutana naye [Rais Kagame].” Amesema

Sauti yake Sonia Zuniga akieleza anavyotaka kumkuta Rais Kagame.

 

 

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.