kwamamaza 7

Mwanachama wa RNC ajigamba kuwa mmoja mwa wapelelezi wa Uganda

0

Mmoja mwa wanachama cha upinzani  kwa serikali ya Rwanda, RNC, Rugema Kayumba kupitia mtandao wa kijamii ameweka wazi kwamba kuna ushirikiano kati yake na maafisa wa upelelezi wa Uganda,CMI.

Kupitia ukuta wake wa Facebook,Rugema Kayumba amehakikisha kuwa ataendelea kushirikiana na maafisa wa upelelezi wa Uganda,CMI na kuwa atakuwa mmoja wao.

Sitashirikiana na CMI tu,nitakuwa mmoja wao”Rugema Kayumba amesema.

Ujumbe wa Rugema Kayumba

Pamoja na haya,Rugema Kayumba amehakikisha taarifa za Wanyarwanda waliowahi kukamatwa na kuteswa kimwili na maafisa wa upelelezi wa Uganda kutangaza kuwa huyu  anashirikiana na CMI katika vitendo vya kuwakamata na kuwatesa Wanyarwanda kwa mashtaka ya kuwa wapelelezi wa Rwanda.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Taarifa hizi zinasema kuwa Rugema anamiliki silaha garini mwake anapotembea na mala nyingine anakuwa na walinzi kutoka CMI.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.