Swahili
HABARI

Mwana jeshi wa Burundi ameteswa hadi kutolewa nyama ya mwili wake

Picha ambao ilizunguka mitandaoni tofauti ni mwana jeshi wa Burundi ajulikanaye kwa jina la ldephonse Nimubona aliyekamatwa na ngazi za usalama akateswa, sasa maisha yako hatarini.

Jeshi huyu alikamatwa katika kundi wakati kambi la jeshi la Mukoni lilishambuliwa katika jimbo la Muyinga tarehe 24 Januari 2017.

Kupitia ukarasa wa twitter, Pacific Nininahazwe, kiongozi wa  Focode, moja ya wanao waniya haki za binafdamu Burundi mara nyingi ali lalamika kwa ajili ya jeshi huo ambaye anafungiwa katika gereza ya Ngozi.

Jeshi huo alipokamatwa aliteswa sana na mwili wake ulikuwa ukitobolewa na chuma kama vile Lambert husema kwenye twitter yake. Sehemu nyingi za mwili wake ni vidonda.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pacific anasema ya kuwa zahanati ya Ngozi haina uwezo wa kubitu mwana jeshi huu na huonekana ya kwamba anaweza poteza maisha. “Zahanati ya Ngozi haina uwezo wa kutibu na hakubaliwe kutoka nje”.

Kiongozi  Pacific anasema ya kuwa rais Nkurunziza anaimba umoja, ingelikuwa vema anatazama kwanza jinsi warundi wanateswa ngambo na ngambo katika nchi.

Wamoja walianza kuteswa mwaka wa 2015 wakati Nkurunziza alitangaza kuwania mhura wa tatu.

Walio onyesha ya kwamba hawafurahii maamzi ya Rais Nkurunziza walienda ukimbizini wengine walitiwa mbaroni na hayo yote ni matokeo na umoja wa mataifa huendelea kushota kidole rais Nkurunziza kuvamia haki za binadamu.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com