Swahili
Home » Mwana habari Assoumani amefukuzwa katika huduma na kunyanganywa kitambulisho ya uwana habari
HABARI

Mwana habari Assoumani amefukuzwa katika huduma na kunyanganywa kitambulisho ya uwana habari

Assoumani Niyonambaza amekataa kutangaza jambo kuhusu maamzi ya Rwanda Media Commision, (RMC) ila kiongozi makamu anaye husika na utawala katika kituo kikuu UTAB, Justine Mbabazi, amesema ya kuwa amefurahia maamzi hao, angelipenda pia gazeti Rugari la Assoumani kufungwa daima.

Kamati inayo husika na tabia na malezi ya kituo cha wanahabari RMC imeamua kusimamisha mwana habari huo Niyonambaza Assoumani kwa muda ya miezi tatu na kuamuliwa kunyanganywa kitambulisho cha utangazaji habari.

MaAmzi hao ni leo tarehe 1 Mach 2017 baada ya kurudilia mashtaka ya mwanahabari na kituo UTAB (University of Technology and Arts of Byumba).

[xyz-ihs snippet=”google”]

UTAB ilimushtumu taarifa za kuwachafua, uongo, kuwatisha, kuwaomba rushwa na mengine kupitia gazeti lake la Rugari.

Aliazimishwa kuomba masamaha uongozi na UTAB pakiwemo Padri Prof. Dr. Faustin Nyombayire na Bi Justine Mbabazi.

Aliamuliwa pia kwamba gazeti Rugari kutangaza taarifa ilio kinyume na yale ambayo aliandika kwa ajili ya kuomba usamaha.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com