kwamamaza 7

Mvua kali imeifuta duniani familia wilayani  Ngoma

0

Mvua kali iliyonyesha jana tarafa ya Kibungo wilayani Ngoma imesababisha nyumba kuwaangukia na kuwaua watu wanne wa familia moja.

Mjane Thacienne Mukaneza na watoto wake watatu wameangukiwa na ukuta wa nyumba waliopkuwa kitandani usiku.

Afisa wa tarafa Claudine Mukazayire kwa niaba ya Katibu Mtendaji wa tarafa ya Kibungo ameeleza kuwa mvua hii ilikuwa kali na nyingi mno.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Miwili ya waliofariki imepelekwa hospitali ya Kibungo ili kufanyiwa uchunguzi.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.