kwamamaza 7

Mushishiro: Wanaoishi kando ya bwawa ya mto Nyabarongo wanaomba serikali shule ya sanaa

0

Wanaoishi karibu ya bwawa ya mto Nyabarongo katika kata ya Mushishiro, wilaya ya Muhanga, wanaomba serikali kuwatilia shule la sanaa katika nyumba ambazo zilijengwa hapo karibu na bwawa kwani watoto wao hufanya kilometa nyingi wakienda kujifunza sana mahali pengine.

Nyumba hizi amabazo wanasema zilijengwa wakati walikua wakijiandaa kujenga bwawa ya mto Nyabarongo kwa ajili ya wafanya kazi na kuweka vifaa vingine, hasa kazi hiyo imefikia mwisho na nyumba hizo zipo wazi bila kazi yoyote.

nyabarongo1

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Hii ndio sababu inayosukuma wakaaji wa kata hio katika viini vya Rukaragatana na Matyazo kusema kuwa tayari tatizo la umeme katatuliwa, na wanahitaji serikali ipumuzishe watoto kwa mwendo wanaofanya kila siku kwa ajili ya kwenda kujifunza sana wakitembea kilometa zaidi ya 10.

Uwamariya Beatrice, kiongozi wa wilaya ya Muhanga amesema kuwa swali hilo wanalifahamu na tayari wamekwisha kufanya usemaji katika wizara ambayo huhusika na mahali pengine, tena wanafahamu kuwa shule ni lazima mahali hapo na nyumba hizo zumikishwe.

Katika wilaya ya Muhanga kuna shule za sanaa zipatazo 18, na hizo shule ni karibu na kikao cha wilaya hio, wanaoishi mbali wanapata usumbufu wa mwendo kwenda kuyafuata mafundisho.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.