kwamamaza 7

Musanze:Wakazi watangaza kuwa na aibu ya vyooni vilivyo karibu na njia inayotumiwa na watalii

0

Wakazi wa wilaya ya Musanze wametangaza kutofurahia vyooni na nyumba zilizo karibu na njia inayotumiwa na watalii wanaoelekea kutembelea sokwe mtu kwa kuwa ni aibu kwao.

Chooni cha mkazi wa tarafa ya Kinigi kilicho karibu na njia ya watalii.

Wakiongea kuhusu hili wakazi wa tarafa ya Kinigi na Shingiro wameleza kuwa hawana fedha za kujenga vyooni na nyumba nzuri.

Nyumba kukuu ya mkazi wa tarafa ya Shingiro iliyo karibu na njia ya watalii

Mmoja wao amesema kuwa wana aibu ya vyooni hivi na kuwa wanaomba msaada kwa kujenga vyooni safi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kiongozi wa wilaya kwa wajibu wa maendeleo,Augustin Ndabereye amesema kwamba wanataka kutoa suluhisho la jambo hili mwaka huu.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na haya,kiongozi huyu amethibitisha kwamba itabidi kuhamasisha wakazi kujiepusha na uvivu.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.