Swahili
Home » Musanze:Wakazi wakoma kupata ada za serikali kwa ardhi yao itakapojengwa eneo la viwanda
HABARI SIASA

Musanze:Wakazi wakoma kupata ada za serikali kwa ardhi yao itakapojengwa eneo la viwanda

Wakazi wa tarafa ya Kimonyi wamekoma kupokea ada ya ardhi yao ambayo serikali ina imani ya kujenga eneo la viwanda kwa kusema kwamba bei wanayopatiwa ni ndogo.

Kwa mujibu wa taarifa za Radiyo 1, wakazi hawa wameleza kwamba hawatatoa ardhi yao kwa serikali  kwenye bei ya frw591 kwa m2.

Wameongeza kuwa hili ni hasara kubwa  kwani shamba fulani alilolinunua kwa bei frw 600,000 atapatiwa frw 97,000 tu.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Akizungumza na Bwiza.com,diwani wa wilaya ya Musanze,Bw Jean Damascene Habyarimana ameleza kwamba kuna mazungumzo kati ya wizara ya viwanda,MINICOM na wakazi ili wakubaliane kuhusu bei na kuwa kuna matumaini kwamba kutapatikana suluhisho kamili.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mala nyingi wakazi wanalamikia ada za ardhi yao wanazopatiwa na serikali kwa kusema kwamba wanapatiwa bei ndogo kisha wakajikuta hawana chochote cha kununua kupitia hizi fedha.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com