kwamamaza 7

Musanze: Watu 6 wanashutumiwa kuiba waya za umeme

0

Wanaume 6 walitiwa mbaroni na stesheni ya polisi ya Rwanda katika wilaya ya Musanze baada ya kuwakuta wakiwa na waya za umeme na vifaa vingine vilivyo ibwa siku nenda.

Msemaji wa polisi jimbo ya Kasikazini Inspector of Police (IP) Innocent Gasasira alisema ya kuwa hao sita wote walikamatwa tarehe 7 Mach baada ya kupewa taarifa na wakaaji kuhusu wizi wa vifaa hivyo.

IP Gasasira eti:” Wote walikuwa katika kiini cha Mpembe, tarafa ya Muhoza, Mwamarakiza Jerome pamoja na Uwimana Anastase walikuwa na waya meta 200 wakiziuza.

Wengine kama Nshimiyimana Faustin, Mulisa Jean, Kurugibwami Jean D’Amour na Ntirenganya Theoneste walikuwa na vifaa vingine kama vyuma vya umeme 165 vinavyo jenga nguzo za umeme.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kiongozi anayehusika na utimilifu wa vifaa vya umeme na kupiganisha uharibifu katika kituo cha nchi (EUCL), Nkubito Stanley eti “kuna wakati tunakwenda kuona matendo yetu ngambo na ngambo na tunakuta nguzo za umeme zimeanguka juu ya wizi kama hawa. Na hayo ndio mara nyingine inasukuma umeme kukosekana na tunapoteza. Ila tunashukuru raia walio toa taarifa wakiarifu polisi na ngazi za usalama na ikawa chanzo cha kuwatiya mbaroni.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.