kwamamaza 7

Musanze: Polisi imeongea na ngazi za afia kuhusu rushwa

0

Kiongozi wa polis iwa Rwanda jimbo la Kasikazini, Assistant Commissioner of Police (ACP) Bértin Mutezintare tarehe 17 Januari 2017 aliongea na wanaohusika na afia wapatao 293, wa wilaya ya Musanze kuhusu mabaya ya rushwa na matukio yake.

ACP Mutezintare aliwaambia kua rushwa yatolewa kwa siri ama waziwazi eti : « Rushwa hua na tukio mbaya kwa utoaji wa huduma kwa ujumla, muwe mukiwapokea vema wateja wenu na kuwahudumia ipasavyo mukilinda afia yao ».

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Msimamizi wa afia katika wilaya ya Musanze, Gasana Celestin amewaomba wanaohusika na ngazi za afia kuzingatia walio ambiwa na polisi ya Rwanda, itawasukuma kufikia uwajibu wenu vema wa kulinda afia na muheshimishe kazi yenu njema.

Siku hio wengine waliopewa maongezi hayo katika wilaya hio ya Musanze sehemu ya Busogo watu 372, na waliongeleshewa na kiongozi wa polisi, Chief Inspector of Police (CIP) Jean Claude Kabandana.

Maongezi hao siku ile moja yalipitika pia katika wilaya ya Ngororero, Ngoma, Rwamagana, na Gicumbi.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.