Jamii zipatazo 72 za kiini ya Nkomangwa, kata ya Munyiginya, wilaya ya Rwamagana hawana misalane, wamoja wanatumia misalane ya wajinani, wengine msituni. Wenye kuwa na misalane wanasikitishwa sana na uchafu ambao utakumba magonjwa kwa wakati huu wa mvua.

Hata katika viini vingine vya kata hii husemwa ya kuwa wakaaji ambao hawana misalane na wanatumia ya wajirani wengine pia msituni.

Hapo kwenye uwanja kulikuwa wageni kutoka Kigali wengine Rwamagana, mke mmoja alisikia haja kubwa akatamani kujisaidia mwenzake akamusindikiza na ndipo wakaona msalane ili juu ilikuwa majani, na alipo ingia akakuta kuna mti akashindwa kuketi ajisaidie na akatoka inje akakosa la kufanya, walikwenda mahali pengi ngambo ya barabara, walipewa msalani ila ni maajabu, mwenzake alimfunika kitenge ili apate kuketi na kujisaidia.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Jirani wa mahali hapo yeye alisema ya kuwa watu wakubwa mchana hawatumiye huo msalane, wanakwenda msituni hapo juu, na ndipo alianza kusema ya kuwa watoto hao wanavimba tumbo zao kwa ajili ya uchafu na yeye pia yupo na wasiwasi ya kuambukizwa magonjwa kupitia wajirani ambao hawana misalane.

Simbi Sarah, kiongozi wa kata ya Munyinginya, amesema pamoja na uongozi wa wilaya na AEE wana mpango wa kujenga misalane kwa ajili ya wale ambao hawana, ila kila mkaaji atachimba, raia na wilaya watasaidia kwa majenzi na AEE itaezeka juu.

Tatizo la kutokuwa na misalane iko mahali pengi nchini, “Rusizi, Musanze, Nyamirama ya Kayonza, Cyahafi ya Nyarugenge, Rusizi, Kinyinya ya Gasabo, Muhanga na kazalika, na hii ni chanzo cha magonjwa yatokanayo na uchafu.

Mwaka jana katibu wa serikali katika wizara MINALOC anaye husika na afya Mukabaramba Alivera, alikuwa amesema ya kuwa kila mkaaji bila shaka kwa mwezi mmoja awe na yupo na msalane, ila mwezi tayari umepita kiasi, na kiongozi huo anakubali ya kua kuna matokeo mabaya mengi yanayoletwa na tatizo hilo. Hayo ni kwa sababu alama ambazo huonyesha malishi mabaya zinafananishwa na alama ya magonjwa yatokanayo na uchafu, kwa hiyo ni vigumu kukinga magonjwa ya malishi mabaya bila kukinga magonjwa yanayo letwa na muchafu.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

2 COMMENTS

    • za assubui, mimi kwa ufahamu wangu,hayo maneno yote mawili hutumiwa, iwe msalane ao choo, mwandishi wa habari hio alivyo andika ni ukweli, msalane ni kama choo, asiwe na tatizo lolote

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.