Swahili
Uncategorized

Muimbaji Safi Madiba anunua gari la kifahari

Msaani Safi Niyibikora maarufu kama Safi Madiba amenunua gari lenye bei ya  frw miliyoni 20 kutoka tajiri mwingine.

Safi Madiba ametangazia Inyarwanda kuwa anapenda kubadili magari.

“Napenga magari sana kwa hiyo ninapopata  fedha ninanunua ile ya bei zaidi” Safi amesema

Safi ameongeza kuwa ameona bora kununua gari mpya ili kutofautisha na lile alilokuwa nalo la aina ya Mercedes Benz.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Huyu msaani aliachana na kundi la Urban Boyz hivi karibuni  na ujiunga na The Mane.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com