Swahili
Home » Muimbaji Kizito Mihigo asherekea sikukuu ya kuzaliwa gerezani
HABARI MPYA

Muimbaji Kizito Mihigo asherekea sikukuu ya kuzaliwa gerezani

Muimbaji  Kizito Mihigo jana tarehe 25 Julai amesherekea sikukuu ya kutimiza miaka 37 akiwa gerezani,Mageragere mjini Kigali.

Kizito Mihigo alizaliwa mwaka 1981, Kusini mwa Rwanda wilayani Nyaruguru.

Alizaliwa akiwa mtoto wa tatu katika familia yake.

Alijulikana sana hasa kwa nyimbo za injili tangu mwaka 2000.

Hata hivyo, alikamatwa na kufungwa mwaka 2014 kwa mashtaka ya usaliti kwa nchi na vitendo vya ugaidi.

Mahakama kuu mjini Kigali ilihukumu kumfunga Kizito miaka kumi na kwa hiyo, inatarajika kwamba bila mabadiliko yoyote ataachiwa huru mwaka 2014 akiwa na miaka 43.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com