kwamamaza 7

Muimbaji Davido amtangaza msaani anayemjua nchini Rwanda

0

Muimbaji kutoka Nigeria Davido jana alipokuwa jukwaani mjini Kigali nchini Rwanda,ametangaza lililowashangaza wengi kuwa msaani anayemjua nchini Rwanda ni msaani wa Hip Hop Jay Polly.

David Adedeji Adeleke maarufu kama Davido amesema kuwa Joshua Tuyishime maarrufu kama Jay Polly ndiye msaani anayemjua nchini Rwanda kwa kuwa ndiye msaani aliyemuona akiamusha watu karibu 25,000 alipokuwa nhini Rwanda miaka iliyopita.

“Ebu niwambie msaani ninayemjua nchini Rwanda,ni Jay Polly”.

Davido amethibiisha hili kwa kumuomba fundi mitambo kucheza uwimbo wa Jay Polly kwa jina la

“Ku musenyi”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Hili limempa Jay Polly fursa ya kupanda jukwaani na kuimba wimbo huu.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.