kwamamaza 7

Muimbaji Buravan awashukuru wafuasi wake baada ya kupona

0

Muimbaji Ivan Buravan amewashukuru wafuasi wake kumuombea Mola alipokuwa mgonjwa.

Kupitia ukuta wake wa Instagram,Buravan amesema kuwa mzima kama kigongo kwa sasa na kumushkuru Mungu kwa kusema”God is good” yaani Mola ni mwema.

Buravan ameandika” Kwa sasa ngali hai!!!.Nashukuru kila yeyote aliyeniombea kwa Mungu…”

Alichoandika Buravan

Huyu muimbaji wa wimbo ‘Hoya’ ametangaza haya baada ya  wiki iliyopita kulazwa hospitalini mjini Kigali kwa ghafla.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Baada ya kutibiwa daktari  alimuonya kuenda nyumbani likizoni kwani alikuwa na uchozi chungu nzima.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.