Swahili
Home » Muhanga:Walowezi wamshitaki kiongozi wa kijiji kuwa chanzo cha uhaba wa bima ya afya
HABARI SIASA

Muhanga:Walowezi wamshitaki kiongozi wa kijiji kuwa chanzo cha uhaba wa bima ya afya

Wilaya ya Muhanga (rangi nyekundu kwenye ramani)

Walowezi wa kijiji cha Musezero wametangaza kuwa hawana bima ya afya  kutokana na kuwa kiongozi wa kijiji chao Tuyizere alimkataza bikira aliyekuwa akitoa msaada huu miaka iliyopita kwa kumuambia kuwa serikali ndiyo itakayolipa bima ya afya ya walowezi hawa.

Wilaya ya Muhanga (rangi nyekundu kwenye ramani)

Walowezi hawa wanasema kuwa baada ya Tuyizere kumueleza bikira alipata suluhisho na kuwambia kuwa hatalipa bima ya afya yao kwa kuwa kiongozi alimkataza kwa kumueleza kuwa italipia wenyeji wake.Wamesema”Kulikuwa bikira aliyekuwa akilipa bima ya afya yetu lakini alituambia kuwa hatalipa tena kwa kuwa kiongozi wetu alimkataza”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Walowezi wanaendelea kwa kusema kuwa kitendo cha kiongozi wao ndicho kilichowasababisha kutokua na bima ya afya siku hizi hata ile kutoka serikali ilikosekana.Kiongozi huyu anakana madai haya ya akieleza kuwa hajawahi kuongea na bikira huyu lakini anasema kuwa aliwahi kuongea na mmoja wao na kumueleza kwamba waliomba msaada wa bima ya afya kutoka uongozi wa tarafa  na kuwa ni lazima kusubiri.

 

Akieleza kuhusu haya madai,katibu mtendaji wa tarafa ya Shyogwe amesema kuwafamilia 6 zianazoishi kijijini humu,familia mbili ndizo amabazo zinakubaliwa na sheria kulipiwa bima ya afya tu.Ameongeza kuwa wameisha pata mdhamini ambaye ni Bureau Social aliyelipa bima ya afya kwa familia nne  zilizobaki wiki ilyopita na kuwa  madai haya ni ajili ya hawa kutojua habali husika.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com