Swahili
HABARI

Muhanga:Mjane atimiza mwaka mzima kwa kuishi katika nyumba aliyojengewa na tarafa isiyo na dirisha wala mlango

Lucia Mukarutabana aliyejengewa nyumba

Mwanamke kwa jina la Lucia Mukarutabana, 60 mkazi wa kijiji cha Macyera,tarafa ya Cyeza ametimiza mwaka mzima kwa kuishi katika nyumba isiyo na mlango wala dirisha aliyojengewa na tarafa.

Lucia Mukarutabana aliyejengewa nyumba

Mwanamke huyu ametangaza kwamba yeye na wanawe watatu wanahofia kuangukiwa na mlango wa bati kukuu unaoshikwa na kamba wanaotumia kujikinga mvua na upepo.

Nyumba yake lucia Mukarutabana

Mkazi huyu ameomba  serikali kumpa dirisha na mlango vya nyumba yake

Afisa wa tarafa kwa wajibu wa mambo ya kijamii tarafa ya Cyeza,Eugenie Uwimana amethibitisha kuwa Lucia hana uwezo na kuwa utawala unatafuta namna ya kumpatia mlango na dirisha vya nyumba yake.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com