kwamamaza 7

Nyamagabe: Kiongozi wa ndani afungwa jela miaka 13 kwa kuhukumu ovyo kesi za mauaji ya kimbali (imeboreshwa)

0

Katibu mtendaji wa kijiji cha Kigeme,Noheli Nkundimana amehukumiwa kufungwa miaka 13 gerezani na faini ya frw miliyoni tatu kwa kuficha hati za kesi kadhaa za kesi za mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka 1994 na matumizi ya hati bandia.

Mmoja mwa walioamuliwa kesi zao ovyo

Noheli Nkundimana amehukumiwa baada ya mashtaka ya wathiriwa wa mauaji ya kimbali wakiwemo Boniface Rurangwa,Pierre Karanganwa,Belia Mukanyarwaya,Alphonsine Mukarusagara na Phoibe Mukankusi kumfkia mwendeshamashtaka.

Pia,Nkundimana alidanganya na kulipiwa faini za malehemu Francois Munderere baada ya kujifanya mtoto wake.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Huyu amehukumiwa na mwenzake,Emmanuel Nkurunziza aliyemsaidia kufanya maovu haya.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Noheli Nkundimana alikuwa pia gerezani kwa kunyanganya ng’ombe ambao serikali hupatia wakazi ili kujiepusha ufukara na kubadhiri mali ya umma.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Hawa wana siku 30 za kupiga rufaa ya uamuzi wa mahakama kulingana na sheria.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.