kwamamaza 7

Muhanga:Familia inayoishi katika nyumba ya chumba kimoja,serikali yaiona kuwa tajiri

0

Familia ya Minani yenye watu wanne inayoishi katika nyumba ya chumba kimoja na sebule kijijini Kanyanza,tarafa ya Cyeza imetangaza kushangaa baada ya uamuzi wa viongozi wa ndani kuyiweka kwenye orodha ya watu tajiri kijijini yaani dalaja la tatu la ‘Ubudehe’.

Nyumba ya chumba kimoja ya Minani na familia yake

Familia hii imeleza kwamba inashangaa kwa kuwa haielewi namna ambavyo watu wenye nyumba ya bati 11, wasio  na shamba la kulima kwani wanaloishimo ni mali ya baba mkwe,wanaojitunza kwa kulima mashamba ya wengine,yenye virusi vya ukimwi inajitokeza kwenye orodha ya watu tajiri wa daraja  la tatu la ‘Ubudehe’.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Familia hii imongeza kwamba haya ni kinyume na uamuzi wa kamati la wakazi wa kijiji walioiweka katika daraja la kwanza na kuwa daraja la tatu la Ubudehe huwazuia misaada ya serikali kama vile VUP,bima ya afya,GIRINKA na kadhalika.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kiongozi wa tarafa ya Cyeza kwa wajibu wa mambo ya kijamii,Eugenie Uwamariya hili nikosa la walioingiza data kwani walikuwa wafanyakazi wa mpito.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Huyu ameshauri familia hii kuandikia barua viongozi wa kijiji ili kukosoa kosa hili.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.