kwamamaza 7

Muhanga: Waziri mkuu amejiunga na raia kwa kazi ya umma

0

Leo tarehe 28 Januari, waziri mkuu, Anastase Murekezi amejiunga na wakaaji wa tarafa ya Cyeka, wilaya Muhanga kwa kazi ya umma kwa ajili ya kushotea maji shamba la mihindi lipatalo hekta 100.

Kwa kushota maji walitumia vifaa tofauti pakiwemo machine zilizopanwa na RAB na wilaya. Wakaaji walitumia vyombo vya msingi.

Pamoja wa waziri mkuu, kuliwa viongozi wengine kama waziri Vincent Biruta, katibu wa serikali Fulgence NSENGIYUMVA, na wengine.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Baada ya kazi ya umma, waziri mkuu aliongea na wakaaji ambao walikuwepo, na aliwapa salamu kutoka kwa rais wa Jamhuri aliyewashukuru kwa yale wanayoyafanya kwa ajili ya maendeleo ya umoja wa wanyarwanda. Waziri mkuu alitoa uito wa kushika maji kwa kuwa hali ya anga imebadilika na mvua imebadili nyakati za kunyesha, na hayo ni kwa ajili ya kushotea mavuno maji wakati wa upungufu.

Aliwakumbusha hapa usoni sherehe ya siku kuu ya mashujaa wa Rwanda, akisema kuwa ushujaa ni kuchagua yanayokufaa.

Kwa kumalizia maongezi baada ya kazi ya umma, Waziri mkuu aliwashukuru wote ambao walikua kwa kazi hio ya siku ya leo na ubidii waliokuwa nao.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.