kwamamaza 7

Muhanga: Uongozi wa jeshi husema kutotatua tatizo la raia hutia usalama bovu

0

Katika mkutano wa mambo tofauti katika wilaya ya Muhanga, uongozi wa jeshi Jimbo la Kusini wanaomba viongozi wa ngazi za msingi katika wilaya ya Muahnga, kujali tatizo la wakaaji na kutatua ili usalama uzingatiwe vema na kuacha kuwa chanzo cha usalama muchache, sana sana wakati wana wapokea vibaya.

Tarehe 16 Februari 2017, uongozi wa Jimba ya Kusini walitembelea uongozi wa ngazi za msingi katika wilaya ya Muhanga kwa ajili ya kutoa huduma vizuri kwa ajili ya raia na kuwajali, wakijua shida zao na kuzitatua ili wasiendelee kuzunguka zunguka njiani.

Hayo karudiriwa na uongozi wa Jeshi wa Jimbo hilo wakitiya mkazo na kusema wakati mkaaji hatatuliwi shida lake anabaki njiani muda mrefu, wakati huo hakuna usalama kaama vile husema mtandao wa wilaya ya Muhanga.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Brigadier General RUVUSHA Emmi kiongozi wa jeshi katika jimbo la Kusini alisema ya kuwa ili Rwanda ifikie usalama kamili inabidii viongozi wa ngazi za msingi kujilinda kuvamia wakaaji wakijua mahitaji na kuwahudumiya iwapasavyo bila kuwaacha kubaki njiani na hapo watajisikia kuwa wapo katika nchi yenye usalama.

Utafiti wa kituo cha uongozi RGB huonyesha kuwa tangu miaka tanu nenda, usalama na utulivu ilikuwa nafasi ya kwanza na 92.62% , na mwaka wa 2014 ilikuwa 91.6% .

Utoaji wa huduma upo kwa nafasi ya nyuma wakati Rwanda imehakikisha baada ya EDPRSII, huduma itapanda kwa ngazi ya juu zaidi ya 85%, na inaomba uongozi kutia mkazo na nguvu kwa utoaji wa huduma.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.