kwamamaza 7

Muhanga: Dkt. Frank akaribishwa na wananchi wengi tangu kuanza kampeni zake-picha

0

Siku ya jana imekuwa ni siku ya saba ambayo mgombea wa chama cha Green Frank Habineza alipoendesha kampeni kwenye wilaya ya Muhanga kwenye tarafa ya Nyarusange.

Frank alikaribishwa hapa wilaya ya Muhanga baada ya kutoka Karongi na kuwaelezea mipango yake wananchi waliokuwa wakionekana kuwa wengi kulingana na mahali pengine alipopitia akiendesha shughuli zake za kampeni.

Katika mipango yake kwa ujumla alisisitiza nyongeza ya mshahara kwa walimu na majeshi na polisi na wengi aligusia hata kuboresha elimu.

Aliahidi pia kwa vijana kuwatafutia kazi na kuwasaidia kujiajiri iwapo atachaguliwa katika uchaguzi wa mwezi ujao.

Akieleza mipango yake

[xyz-ihs snippet=”google”]

Alipata fursa ya kuahidi kwamba endapo atachuguliwa ataweka kiwanda cha kutengeneza dawa nchini Rwanda na hivyo kurahisisha upatikanaji wa dawa na kuboresha sekta ya afya.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Richard Wa Billy

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.