kwamamaza 7

Mugabe asema hatamteua mtu atakaye chukua nafasi yake

0

Mtawala wa miaka kazaa wa Zimbabwe, Rais Robert Mugabe eti, “sitazimishwa kumuteua atakaye shika nafasi yangu na kama chama change kinanipenda mimi nitastarehe, ila kinaweza iitisha mkutano kwa kuchagua kiongozi mwengine”.

Rais huo kikongwe akiwa mzee ulimwenguni ana umri wa miaka 93, na amekua madarakani kwa zaidi ya miaka 40, tangu Zimbabwe kupata uhuru wake kutoka Uingereza mwaka 1980.

Mugabe aliungwa mkono na maelfu ya wafuasi wake kusherekea siku ya kuzaliwa kwake katika shule ya Matobo nje kidogo ya mji wa pili kwa ukubwa wa Bulawayo. Wakosowaji wamelaani gharama kubwa ya kuanda sherehe hizo wakati nchi inakabiliwa na hali mbaya ya ucuhumi.

Rais Mugabe anasema ameweza kuishi maisha marefu kutokana na “matakwa ya Mola kunitaka kutekeleza mahitaji ya wa-Zimbabwe.”

Katika hotuba yake ya karibu saa moja kiongozi huyo aliyeonekana mdhaifu alimshukuru mwenyezi mungu kwa kumpa maisha marefu na muda mwingi kuzungumzia maisha yake mwenyewe.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.