Swahili
HABARI

Mufanya kazi wa wilaya ya Burera alikamatwa akipokea rushwa ya raia maskini

Mufanaya kazi katika wilaya ya Burera anaye husika na kuwatetea maskini amefikishwa mahakamani akishutumiwa kupokea rushwa ya raia maskini kama vile husema polisi ya nchi.

IP Innocent Gasasira, msemaji wa plosi katika jimbo la Kaskazini amesema kwamba Ndagijimana Jean Damascene alikamatwa akipewa rushwa ili aweze tia kwenye orodha yule maskini akaweze jengewa nyumba.

Eti “amekamatwa akipokea rushwa, sasa mambo yake yamefikishwa mahakamani na amepokelewa, alikamatwa ijuma na alipo kamatwa alifungiwa kwenye stesheni ya polisi ya Gahunga”.

Ndagijimana huyo aliye fungwa ndiye anaye husika na kukubali orodha ya mipango hiyo ya majenzi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mfanya kazi mmoja eti “ilisemekana kuwa kuna watu wengi ambao aliwaomba pesa ila ushuhuda ulikosekana, ijuma ndipo polisi ilimukamata akipokea pesa za munusrwa wa mauaji ya Kimbari huko Gahunga ili aweze kumutia kwenye orodha ya kujengewa nyumba”.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki/bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com