Mtume malumu, Said Djinnit  wa Umoja wa Mataifa katika maziwa makuu ameomba nchi za wilaya kuzidisha nguvu kwa kupiganisha kundi zenye silaha katika mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwani huvamia usalama wa Raia kwa ujumla.
Kwa ngambo yake anasema ni sherti kuongeza nguvu kwa kupiganisha makundi na kukata tamaa na matumaini makundi yenye silaha, kama kundi la Wanyarwanda la FDLR, kundi kutoka Uganda la ADF, wakipiganishwa katika ushirikiano wa jeshi la Congo pamoja na MONUSCO.
Said Djinnit eti: “ni vizuri kushirikiana kwa nguvu kati makundi hayo mawili (FARDC na MONUSCO) ili waweze shambulia makundi hayo yenye silaha.
Mtume huo aliomba pia nchi za maziwa makuu kutia kwa pamoja ili kutafuta suluhisho ya makundi hayo yasiyo kubaliwa kama vile husema gazeti la Uchina Xinhua.
Aliomba wanasiasa wa Congo kutii na kuheshimu makubaliano ya mkataba wa tarehe 31 Disemba kwa ngazi ya kufanya uchaguzi katika mwangaza na amani.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter
Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.