kwamamaza 7

Mshauri wa rais Nkurunziza Willy Nyamitwe anusurika kifo, mlinzi wake afariki

0

Jana jioni tarehe 28 Novemba 2016  mshauri mkuu wa rais Nkurunziza wa Burundi, Willy Nyamitwe alipatwa na shambulio la watu wenye silaha kwa neema ya Mungu akanusulika.

Taarifa ambayo imetolewa na watu wa familia yake husema kwamba watu hao wenye silaha walimshambulia karibu na sehemu anayoishi ‘Kajaga’ magharibi-Kaskazini mwa mji mkuu wa Bujumbura, ndipo walipomrushia mfululizo wa lisasi na mlinzi mmoja afariki wakati mwingine ajeruhiwa.

[ad id=”72″]

Taarifa hii imehakikishwa na ndugu yake Alain Aime Nyamitwe ambaye ni waziri anayehusika na mambo ya nje kama vile ameandika kwenye ukarasa wake wa Twitter.

Alisema, “utukufu ni wa Mungu ambaye alimlinda ndugu yangu Willy Nyamitwe jiingine shamubulio la mauaji kwa usiku wa leo”.

Willy Nyamitwe ameshambuliwa wakati ilikua siku chache ya usalama kwa upande wa rais Nkurunziza huko Bujumbura ijapokua kiongozi mwingine aliuawa kwa siku karibuni.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter 

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.