kwamamaza 7

Msanii amtaka Rais kagame kuunga mkono  muziki wa Rwanda

0

Msaani na mtangazaji Ally Soudy amemtaka Rais Kagame kuunga mkono mambo ya muziki  ili kuwezesha ubora na maendeleo ya sekta hii.

Ally Soudy ameeleza kwamba muziki ni chombo cha kuwasilisha utamaduni na kuwa itakuwa bora wakati ambapo Rais Kagame ametia nguvu kama anavyounga mkono mambo ya michezo ya kandanda  kama vile ni mshabiki  wa Arsenal.

Msani huyu amesisitiza muziki utawezesha kueneza mambo ya kiuchumi kwa kutoa mfano wa hali ya  Nijeriya na Afrika kusini.

Wanyarwanda,wanasiasa hawana budi kupenda mambo ya muziki kama vile Rais Kagame anaweza kuwasilisha wimbo wa msanii fulani kupitia instagram ama twitter” ameeleza Ally Soudy

[xyz-ihs snippet=”google”]

Muziki ni kama balozi ndio maana namtaka Rais Kagame kutusaidia, kuna tumaini kwamba muziki utavuma kutokana na hili”Ally Soudy amesema.

Ally Soudy ameshukuru mengi yaliyotokea katika sekta ya muziki kama vile  kuanzisha shule la muziki la Nyundo hasa msanii Maiti popo na wengine.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.