Baada ya siku mbili Zari The Bosslady kuweka hadharani kumuacha muimbaji Diamond Platinumz,Idriss Sultani amemkukumbusha Diamond kuwa huu ni muda wa kutekeleza yale aliyowahi kuahidi.

Mchekeshaji huyo amemkumbusha Diamond kutekeleza ahadi yake kumpigia Zari magoti kumuomba msamaha kama alivyowahi kueleza hapo awali.

Kupitia Instagram yake Idris ameandika:

“Mond naomba naomba tupige yale magoti tuliahidi mpaka sauzi, unashindwaje kumganda wakati Mganda.”

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pengine amesema kuhusu tabia ya unafiki inayojidhihirisha katika jamii ya Watanzania.

Alichoandika Idriss Sultan

Idriss Sultan aliwahi kuwa mpenzi wa Wema Sepetu ambaye pia aliwahi kuwa mpenzi wa Diamond.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

 

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.