kwamamaza 7

Mpayimana mgombea wa urais Rwanda alienda kuwaona wanahabari akiwa juu ya pikipiki-PICHA

0

Mpayimana Philippe aliyetangaza kuwa atakuwa mgombea wa urais Rwanda amekuwa na maongezi na wanahabari ili kuwaAmbia mpango wake kwa urefu.

Baada ya kufika Kigali siku ya juma tanu tarehe moja Februari 2017 usiku, hiki ndicho kitendo cha kwanza ambacho anakifanya cha kuongea na wanahabari na kuwaambia kama amekuja kupana ugombeaji wake ili aweze kuchaguliwa kama rais wa Rwanda tarehe 3 na 4 Agasti 2017.

Maongezi na wanahabari yaritarajiwa kuanza saa tano ila yeye kachelewa dakika 15 kwenye kikao cha The Mirror Hotel Remera, yawezeka kuwa kuchelewa kwake kulitokana na kukosa pikipiki kwa muda kwa kuwa alikuja akiwa juu ya pikipiki na wanahabari wakipicha kwa kila aina.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Hoteli alikuwa amelipa ila wakamusumbuwa wakisema atafute kibali ya wilaya ya kurusu maongezi na wanahabari na ndipo akachukua tena pikipiki, lakini akawambia wanahabari kumusubiri dakika 30.

Alipo rudi alianza maongezi akisimama na mwisho akaketi, alisema ya kuwa aliacha kazi ili aje kuwa mgombea, na akasema atatafuta kazi Rwanda, ijapokuwa alikuwa amesema ya kwamba Rwanda hakuna kazi.

Src Picha:igihe

mpayi2 mpayi4 mpayi5 mpayi1

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.