Leo tarehe 1 Februari 2017, usiku wa manane ndipo Mpayimana Philippe aliyetangaza kuwa atawaniya uchaguzi wa uraisi nchini Rwanda mwaka huu aliwasili uwanja wa ndege Kanombe, ila amekuja peke yake bila wasindikizi.

Mpayimana alikuwa mwana habari wa Agatashya Radio, ambayo ilikuwa katika kambi la wakimbizi waliokua Zaire (Congo) kati mwaka wa 1995-1996, tarehe 31 Disemba 2016 ndipo alitangaza kuwa atawaniya uchaguzi wa rais Rwanda.

Mpayimana amemwambia mwana habari kuwa atajaribu kwa miezi hii 6 usoni ili aone kama atakubaliwa kuwaniya kuwa rais wa Rwanda, na baada ya kukubaliwa ndipo atasema mipango yake kwa ajili ya nchi Rwanda.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Katika nchi Ufaransa, Mpayimana alikuwa mwana habari, alikuwa mfanya kazi kawaida katika kiwanda ya kutengeneza viungo ya chakula.

Alisema kama akishindwa kwenye uchaguzi wa urais atabaki na uhusiano mwema na nchi aliyo yiishi miaka 14, pia na Rwanda nchi yake.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.