kwamamaza 7

Mowzey Radio alikuwa akipendeza mno-Juliana Kanyomozi

0

Muimbaji Juliana Kanyomozi maarufu kama Juliana ametangaza alivyokuwa akimuona marehemu muimbaji Mowzey Radio.

Kupitia sauti yenye machozi Juliana Kanyomozi akiwa mazungumzo na NBS,amesema kwamba alikuwa akipenda mitindo ya Mowzey Radio na kuwa alikuwa akipendeza.

Juliana amesema”Nilipenda mitindo yake,namjua kama mtu mwenye maadili”

Pia ameongeza kwamba alikuwa mtu ambaye anapenda na hata ambaye hawezi kuficha hisia zake.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pengine amefunguka kuwa hajui lolote kuhusu mipango ya marehemu kama vile kujiunga na Angel Music ila anadhani kwamba ni jambo la kawaida kwa msaani yeyote.

Muimbaji Mowzey Radio aliaga dunia tarehe 2 Februari baada ya kupigwa alipokuwa baani De Bar mjini Kampala.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.