kwamamaza 7

Moja wa simba 7 walioletwa Rwanda amekufa

0

Uongozi wa hifadhi (parc) ya Kagera wauzunishwa na kifo cha simba moja kati ya 7 ambao waliletwa Rwanda hivi wana kiwango zaidi ya mwaka moja hapa nchini.

kagera

Uongozi wa hifadhi ya Kagera umetoa taarifa kwamba simba huyo alikufa aliitwa kwa jina la “Garuka” alifikishwa Rwanda akiwa na myaka mitano akiwa pamoja na wengine 7 mwaka wa 2015 mwezi Juni kutoka Afrika Kusini.

Waendelea na kusema kwamba simba huo alikua haitoe tena taarifa kwa hali ya teknolojia (satellite) tangu Disemba 2015 kama vile simba wengine hutoa taarifa kiisha masaa manane.

kagera1

Wanaohusika na kulinda hifadhi wasema kwamba walifuatilia huo simba wiki nenda na ndipo wakagundua nafasi ya mabaki yake na kuiona taksi (gourmette) ya shingoni yenye jina Garuka ijapokuwa wasema kwamba kwa siku chache walikua wameiona simba huo kwa hali nzuri.

kagera2

Taarifa husema kwamba simba Garuka alikua ikienda kwenye mawindo akiwa pekee, yawezeka aliumizwa na munyama mwengine porini wakati wa mawindo na ni Garuka peke yake ambao alikua bado haja zaa vitoto, wingine wote tayari wameongezeka na kuzaa.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.