Swahili
HABARI

Moïse Katumbi anahitaji kuja kwenye mazishi ya “Tshisekedi”mjini Kinshasa

Moïse Katumbi, mwana siasa akiwa tajiri pia mpinzani wa rais Kabila, amesema kuwa hitaji lake ni kusindikiza maiti ya mwana siasa mwenzake Etienne Tshisekedi kutoka Ubelgiji mpaka Congo atakapo zikwa.

Ibada ya kuaga Étienne Tshisekedi, ilifanyika katika kanisa kubwa la kikatolika Ubelgiji tarehe 9 Februari 2017, Moïse Katumbi alikuwepo pamoja na raia wa Congo wengine, raia wa Ubeligine na wengine wana siasa wa Ufaransa.

Baada ya ibada hiyo ndipo Katumbi alisema eti “nitarudi pamoja na maiti Kinshasa, nitasindikiza maiti kwenda kuzika”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Katumbi pamoja na Tshisekedi waliunga umoja wa vyama wapinzani wa Kabila, Katumbi aliazibiwa kufungwa miaka 3 na hayupo, inawezekana akirudi atatiwa mbaroni.

Tarehe 22 Agasti 2016, ndipo aliazibiwa kufungwa miezi 36 na kupana garama ya dola miliyoni 6 za Marekani ikiambatana na kosa la kuuza nyumba kinyume na sheria.

Moise Katumbi tayari ameanza kusema ya kuwa anatamani kurudi Kinshasa, na alizarau azibio alilo pewa na hayupo akisema ilikuwa mpango ili asije kuwania uchaguzi wa urais nchini Congo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com