kwamamaza 7

Mnyarwanda mwingine Dk.Ruvumwa akamatwa na mafisa wa upelelezi nchini Uganda

0

Mnyarwanda mwingine kwa jina la Dk. Sam Ruvumwa, 42 amekamatwa na mafisa wa upelelzi nchini Uganda kwa kutuhumiwa uhalifu husika na kuwahamisha kwa nguvu wakimbizi asili ya Rwanda.

Taarifa za  Chimpreports zinasema kuwa Dk.Ruvumwa alikamatwa tarehe 17 Disemba 2017 saa nne asubuhi alipokuwa kanisani mjini Mbarara,magharibi mwa nchi.

Taarifa hizi zinaeleza kuwa Ruvumwa alikamatwa baada ya watu wasiotajwa majina kumuita alipokuwa kanisani ili wajadiliane kidogo  kisha wakamuingiza garini kwa ubavu kisha wakaenda pahali ambapo hapajajulikana.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Msemaji wa polisi ya Uganda,Emilian Kayima akisema kuhusu kisa hiki ameleza kuwa hajui lolote husika.

Kwa upande mwingine kuna taarifa za kuwa afisa wa upelelezi kwa jina la Alex alishiriki mno katika kisa hiki.

Taarifa zinazofikia Chimpreports zinasema kuwa Dk.Ruvumwa anaweza akaja akashtakiwa uhalifu husika na  uchuuzi wa binadamu baada ya kuwakamata Wanyarwanda 40 kwenye mpaka wa Uganda na Tanzania,Kikagati hivi karibuni.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na haya,afisa wa polisi asiyetaka jina lake kujulikana ametangazia Chimpreports kuwa kisa chake kina uhusiano na Rwanda.

Haya yametokea wakati baada yake Dk.Sam Ruvumwa alishtaki kuwa kuna watu ambao wanamtesa.

Pamoja na haya Wanyarwanda karibu elfu walifungiwa nchini Uganda kwa kutuhumiwa kuwa wapelelezi.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.