kwamamaza 7

Mnyarwanda ateuliwa kuongoza Heineken nchini Ethiopia

0

Mnyarwanda  Eugene Ubalijoro ameteuliwa kuongoza Heineken nchini Ethiopia.

Ubalijoro alijulikana mwaka 1990 alipoteuliwa kama  kocha wa kimataifa wa Opersheni za Rwanda

Kampuni ya Heineken imeeleza Ubalijoro amepatiwa nafasi hii kwa kuwa ana uwezo na  ujuzi wa kazi kutoka nchi mbalimbali.

“Alifanya kazi nchini kadhallika kama vile Ufaransa,Reunion, Rwanda na DR Congo, alijifunza mengi kuhusu vinywaji vyetu”

Ubalijoro aliwahi kuwa Meneja wa Uuzaji wa Bralirwa nchini Rwanda kisha akaenda nchini Marekani, Jamaica, Suriname, Haiti na nchi nyingine.

Intarajika kwamba ataanza kazi rasmi tarehe 12 Septemba 2018

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.