Serikali ya Burundi imepatia wakati wa saa 48 raia wa Rwanda wa jinsia ya kike,Christine Nkomeza kuondoka  nchini humo juu ya kutuhumiwa kushiriki katika mambo maovu.

Tangazo la wizara ya utawala wa nchini linaeleza huyu Mnyarwanda hahitajiki kwenye ardhi ya Burundi kutokana na kufanya mambo ya kusali kisiri na kuwakuta watu kutoka nchi za nje.

Tangazo la wizara ya utawala wa Burundi

Kwa hili, huyu mwanamke anakubaliwa kuenda nchi nyingine atakayo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pia wizara hii imejulisha viongozi wa mikoa,mji,Kamishna wa polisi ya angani,maafisa kwenye mipaka na wengine kutoka nchi za ugeni kutii amri hii.

Hii si mala ya kwanza serikali ya Burundi kufukuza Mnyarwanda kwani ilimfukuza aliyekuwa mmoja mwa maafisa wa ubalozi wa Rwanda nchini humo.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

[xyz-ihs snippet=”google”]

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina