kwamamaza 7

 Mnyarwanda apatikana amekufa nchini Marekani

0

Mnyarwanda kwa majina ya Ndoli Kiso Rufuku,33, amepatikana hotelini akiwa amekufa nchini Marekani.

Malehemu ambaye alikuwa mkazi wa eneo la South Bend, Indiana.

Polisi imeanzisha upelelezi kujua chanzo cha msiba huo.

Pamoja na hayo, Ndoli atazikwa juma pili.

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.