kwamamaza 7

Mnyarwanda afungwa nchini Burundi kwa kutuhumiwa kuwa mpelelezi

0

Mnyarwanda wa kike Christine Nkomeza amefungwa gerezani Mpimba,mjini  Bujumbura.Hili ni baada ya Burundi kumpa saa 48 tangu tarehe 18 Aprili 2018  kuondoka kwenye ardhi yake,jambo ambalo hakufanya.

Tangazo la terehe la  wizara ya utawala  wa ndani nchini Burundi  lilieleza huyu Mnyarwanda alikuwa akituhumiwa kuwa  mpelelezi wa Rwanda kutokana na vitendo vyake  kama vile kusali kisiri na mikutano kati yake na watu wa ugenini.

Taarifa zinazofikia Bwiza.com ni kwamba Christine alikamatwa Ijumaa tarehe 27 Aprili mjini Bujumbura.

Pamoja na hili,Wanyarwanda walianza kuteswa nchini Burundi tangu mwaka 2015 ambako Burundi  ilishtaki Rwanda kuwasaidia waliolenga kuipindua serikali ya Rais Nkurunziza.

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.