kwamamaza 7

Mmoja mwa waliotoroka pamoja na mtangazaji Cassien Ntamuhanga akamatwa

0

Ofisi kuu ya magereza nchini Rwanda (RCS) imetangaza kumkamata Theogene Batambarije ambaye alitoroka akiwa pamoja na mtangazaji Cassien Ntamuhanga amekamatwa.

Kupitia ukuta wake wa Twitter,Msemaji wa hii ofisi,CIP Hillary Sengabo ametangaza kuwa Batambarije aliyetoroka tarehe 31 Novemba 2017 amekamatwa akiwa wilayani Gicumbi, kaskazini mwa nchi tarehe 3 Aprili 2018.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Batambarije alihukumiwa kufungwa miaka 16 juu ya uhalifu wa ubakaji.Alitoroka gereza ya Mpanga,kusini mwa nchi kabla ya kumaliza hukumu yake.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.