kwamamaza 7

Mmoja mwa wakubwa wa serikali ya Rwanda ya ukimbizini ajiondoa

0

Aliyekuwa mwendesha mashtaka mkuu wa serikali ya Rwanda inayofanyia kazi yake ukimbizini,Abdallah Akishuli kupitia mtandao wa Facebook ameweka wazi kuwa amejiondoa katika serikali hii.

Abdallah Akishuli amejiondoa  baada ya kuondolewa nafasi ya kuwa waziri mkuu na kuteulia kama mwendesha mashtaka mkuu tarehe 31 Julai mwaka 2017.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Yaliyomo ya tangazo hili yanasema kwamba Akishuli ameleza kuwa ameamua kujiondoa baada ya kuchukua muda wa kutosha wa kufikiri kuhusu jambo hili.

Waheshimiwa,nimeamua kujiondoa katika serikali ya wakazi ya ukimbizini,jambo nililofikiria kwa muda mrefu(…)’amesema Abdallah Akishuli.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Huyu amejiondoa kwenye nafasi ambayo ni moja mwa kubwa za serikali ya Rwanda ya ukimbizini.

Serikali ya Rwanda ya ukimbizini ilianzishwa tarehe 20 Februari mwaka 2017 inaongozwa na Padri Thomas Nahimana pamoja na waziri wake mkuu,Immaculee Kansiime.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.