kwamamaza 7

Mmoja mwa wachezaji bingwa wa Arsenal kutua nchini Rwanda

0

Mmoja mwa wachezaji bingwa wa Arsenal anatarajika kufika nchini Rwanda kwa shughuli za kuita majina watoto wa sokwe-mtu tarehe 7 Septemba 2018.

Ofisi Kuu ya Maendeleo nchini Rwanda (RDB) bila kufichua ni nani ambaye atakuja nchini Rwanda, wameeleza  hii  ni moja mwa namna ya kuutumia mktaba wa “Visit Rwanda” uliotiliwa saini mwezi Meyi mwaka huu.

“Moja mwa namna ya kuutumia mktaba wa “Visit Rwanda”ni mkukaribisha mmoja mwa wachezaji wa timu ya kuanza ya Arsenal nchini Rwanda. Nani? Tutawajulisha” ametangaza Kiongozi wa idhaa ya Utalii kwenye RDB, Kariza Belise.

Huyu mchezaji atazuru mahli pengine pa utalii nchini Rwanda na tutawajulisha wakati ukifika” Kariza ameongeza.

RDB imetangazia vyombo vya habari wengi mwa mastaa na watu maarufu kote duniani wameisha sajiliwa kusherekea hili jambo.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.