Mchezaji kwa jina la Jihad Bizimana ndiye mchezaji ghali nchini Rwanda baada ya kusajiliwa na timu ya Waasland-Beveren kwa Euro 200,000 karibu frw 209,000.

Jihad ambaye alikuwa mchezaji wa timu ya APR amesaini kuichezea timu hii miaka mitatu.Taarifa za tovuti ya timu hii zimeeleza kochi wamefurahia kipaji cha Jihad hasa wachezaji wenzake.

Huyu mchezaji ameondoa rekodi ya mchezaji Sugira Erneste amabye alisajiriwa na timu ya Vita Club nchini DR Congo.

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina