kwamamaza 7

Mke wa makamu rais wa India amesema kuna mengi ya kujifunza kupitia kituo “Isange”

0

Bi Salma Ansari  mke wa makamu Rais wa India, alishukuru jinsi Rwanda ilijenga kituo Isange One Stop Centre kwa ajili ya wanao teswa kijinsia na watoto.

Alisema hao tarehe 20 Februari alipo tembelea hospitali ya wilaya baada ya kufasiriwa huduma ambazo Isange hutoa, na hapo alisema hata India kuna vituo kama hivi vyengi, ila kuna mengi ya kujifunza namna Rwanda ilifanya.

Bi Ansari yupo Rwanda akiwa pamoja na mume wake makamu rais wa India, Shri M Hamid Ansari mwenye kuwa katika ziara ya siku tatu Rwanda.

Bi Ansari eti: “tuna vituo kama hivi India, ila ni vema kujifunza kila mara mahali pengine na inakuwa umuhimu kwetu, kituo Isange One Stop Centre, ni kituo maalum, wanawake wanasaidiwa wakati wa shida”.

Isange ilifungua milango mwaka wa 2009 kama mradi wa kielekezo, kwa kutoa mashauri, matibabu, kusaidia katika sheria kwa walio teswa kwa hali ya jinsia na watoto bila malipo.

Hadi sasa Isange yupo katika hospitali 28 katika hospitali za wilaya kwa ajili ya kupanua huduma hata katika vituo vya afya katika nchi yote.

Superintendent Shafiga Murebwayire, mratibu wa kituo eti “tunapana huduma nyingi ili aliye teswa apate vifaa vyote, tunawatibu ili tupate alama za mwanzo ili kwenda mahakamai, tuwashauri walio teswa ili kurudi katika maisha kawaida na anasaidiwa kwenda mahakamani”.

Kituo Isange kilijengwa na Polisi ya Rwanda pamoja na wizara ya sheria, ya jamii, Imbuto Fundation na wengine.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.