kwamamaza 7

Mke mwema ni unyumba bora-Waziri Mkuu Anastase Murekezi

0

Waziri mkuu Anastase Murekezi aliwakumbusha wanawake wenye kuwa katika kundi “moyo wa unyumba” (Mutima w’urugo) kuwa na usamini wa mke wa Rwanda kama usafi, kuwafundisha watoto, kutii na mengine.

Alisema hayo wakati wanawake walikuwa wakimalizia mafundisho ya siku 9 kwenye chuo cha Nkumba, akiwaambimba ya kwamba mwanamke ni nguzo kubwa katika jamii ya Kinyarwanda na kuwa wapo nafasi kubwa kati maendeleo ya jamii.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Aliendelea na kusema ya kuwa usamini mkubwa wa mwanamke wa Rwanda ndio ulisukuma kusema neno “mke mwema ni ubora wa unyumba” (Ukurusha umugore akurusha urugo)

Waziri mkuu Murekezi aliwaomba wake na wabwana wadogo ambao walikuwepo kuhamasisha uhusiano mwema kati ya ngazi za serikali, wazazi, waalimu hata na wafanyabiashara kujenga jamii Rwanda.

Mafundisho hao yalikuwemo wapatao 436, wanaume wakiwa 20 wanaohusika na maendeleo na usanishaji wa jamii.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.